Kanye West na Wiz Khalifa wamaliza beef yao. - TANZA MEDIA ONLINE

Wednesday 3 February 2016

Kanye West na Wiz Khalifa wamaliza beef yao.


kanye-west-wiz-khalifa 
Rapa wawili wanaotisha kwenye mziki wa  hiphop baada ya kutaka kuwa na beef kubwa kutokana na maneno makali waliobadilishana mtandaoni wamemaliza beef yao.Hii imekuja ghafla tu baada ya Ex wa Wiz Khalifa ‘Amber Rose’ kukutana na kupiga picha na Kim Kardashian.

Kanye aliamua kutufahamisha kwa tweet hii.

kanye west

No comments:

Post a Comment