AliKiba - Lupela New Music Audio - TANZA MEDIA ONLINE

Wednesday 3 February 2016

AliKiba - Lupela New Music Audio

Baada ya wimbo wa “Nagharamia” kutoka kwa Nyota wa muziki wa Bongo fleva maarufu kama Alikiba alishirkiana na  Christian Bella,kuonekana kutofanya vyema tofauti na matarajio ya wengi,leo ally kiba ameachia ngoma yake nyingine mpya .
hapa tumekuwekea wimbo mpya wa Nyota huyo unaitwa “Lupela” take your time to enjoy the new good mussic


No comments:

Post a Comment