Diamond kuachia video mpya wiki hii, rangi nyekundu ina maanisha nini? - TANZA MEDIA ONLINE

Wednesday 10 February 2016

Diamond kuachia video mpya wiki hii, rangi nyekundu ina maanisha nini?



Daimond ametangaza kuachia  video mpya wiki hii.Japo hajasema video hiyo ni ya wimbo upi lakini ndani tayari ana video mpya mbili, moja aliyomshirikisha rapper Aka (MAKE ME SING) na nyingine ni collabo na kundi la Mafikizolo (AFRICA GO !) zote zikiwa zimeshootiwa Afrika kusini.
dimoo
Wakati huo huo, Diamond na Mashabiki wake wote wa WCB wamebadilisha profile picture zao na kuweka rangi nyekundu, zina maanisha nini? Msimu wa Valentine? Pia rangi hiyo nyekundu inaambatana na Hashtag ya #12022016 ambayo inaweza kuwa inamaanisha 12/ 02/ 2016 yaani tarehe ya kutoka kwa wimbo huo?
Wakati wa uzinduzi wa Tidal ya Jay Z  mastaa wakubwa wakiwemo Nicki Minaj, Beyonce, Usher na wengine walibadilisha profile picture zao za kwenye mitandao ya kijamii na kuweka picha za rangi ya bluu bahari.
SOURCE : http://teamtz.com

No comments:

Post a Comment