Ali Kiba ataja vitu vinavyomvutia kwa Jokate,asema anafaa kuwa mke. - TANZA MEDIA ONLINE

Wednesday 10 February 2016

Ali Kiba ataja vitu vinavyomvutia kwa Jokate,asema anafaa kuwa mke.


kiba-na-jokatee

Staa wa bongo fleva Ali Kiba ameweka wazi vitu ambavyo vinamvutia toka kwa mrembo Jokate ambapo kumekwepo na tetesi kuwa mastaa hao ni wapenzi kutokana na ukaribu wao usio wa kawaida.
“Nampenda Jokate kwa sababu anajituma sana,anafanya vitu kwa plan,anapenda kujua vitu na anapendeza,anavutia..ni mzuri” alifunguka Kiba kwenye mahojiano yake akiwa anatambulisha wimbo wake mpya wa Lupela.
Hata hivyo Ali Kiba amekana kuwa na mahusiano na Jokate licha ya kukiri kuwa ni aina ya mwanamke ambaye angependa awe mke wake baada ya kuulizwa kama Jokate anafaa kuwa mke wake.
SOURCE:Efm

No comments:

Post a Comment