Chris Brown akasirishwa na husika ya Michael Jackson kuigizwa na mtu mweupe. - TANZA MEDIA ONLINE

Monday 1 February 2016

Chris Brown akasirishwa na husika ya Michael Jackson kuigizwa na mtu mweupe.


 inside-nick-cannon-chris-brown-instagram
Wiki iliyopita watu weusi Marekani na Uingereza wamekuwa wakitupia malalamiko yao kuhusu husika ya Michael Jackson kuigizwa na mtu mweupe wakati Michael Jackson alikuwa Africa American.
Hizi ni twits za Chris Brown
IMG_3176
35b8pwz.jpg

No comments:

Post a Comment