aiba Account ya Instagram ya Petit Man na kujinasibu - TANZA MEDIA ONLINE

Friday 26 February 2016

aiba Account ya Instagram ya Petit Man na kujinasibu


mtu mmoja asiyefahamika ameiba akaunti ya Instagram yenye followers 679 ya Mpambe wa Wema Sepetu anayejulikana kwa jina la Petit Man  na kubadili jina na kujiita @tatizo_ni_umaskini kisha kufuta picha zote na kuweka moja sambamba na kuandika ujumbe huu hapa chini:

Tatizo_ni_umaskini 
Nimeamua kubeba AC ya huyu bwana kwa sababu zifuatazo
... 1: Ukimueleza shida yoyote ile iwe salamu au nn kupitia whatsapp unaambulia matusi.. tena matusi makubwa kweli kweli..
2:Nataka ajifunze kua ye sio mjanja ila tupo wajanja zaidi yake
3: Ntatumia hii AC kufanya biashara za matangazo.. na namba ntaweka na hakuna wa kunikamata Bongo hiii ya wazembe labda huko Mbele(USA)
4:Kama we ulidhani mi fala kuhack hii akaunti bhas we ndo fala zaidi...
5:We si ulikua unatumia hii akaunti kupost picha tu?? Mi ntatumia hii kutafuta hela
6:Mkizingua saana ntaenda kuidelete tu hii AC
__________________________
TATIZO NI UMASKINI.. TUNA ELIMU AF HATUNA HELA TUFANYE NN?

No comments:

Post a Comment