UEFA TEAM OF THE YEAR 2015 - TANZA MEDIA ONLINE

Friday 8 January 2016

UEFA TEAM OF THE YEAR 2015

Ikiwa ndio kwanza tumeuanza mwaka mpya 2016,dunia bado haijasahau juu ya mwaka uliopita wa 2015.shirikisho la soka la bara la ulaya limetoa majina kumi na moja ya wachezaji wanaounda timu ya ulaya kwa mwaka 2015.ambapo kwa mara ya tatu mfululizo hakuna mchezaji anayecheza katika ligi pendwa na maarufu dunuiani ya uingereza(maarufu kama premier league).ikumbukwe wachezaji hao uteuliwa kutokana na ubora na mchango wao kwa vilabu na timu za taifa walizotumikia kwa mwaka 2015.
orodha kamili ni hii hapa

No comments:

Post a Comment