HATIMAYE DUNIA KUMKOSA PAUL WALKER KWENYE FAST 8 - TANZA MEDIA ONLINE

Saturday 30 January 2016

HATIMAYE DUNIA KUMKOSA PAUL WALKER KWENYE FAST 8


Watayarishaji wa filamu yaFast wamethibitisha kuwa mdogo wake marehemu Paul Walker ‘Cody Walker’ hataonekana kwenye muendelezo wa filamu ya Furious 7 ambayo ni Fast 8.
Watayarishaji hao Universal Pictures walikanusha kuwa husika ya Brian O’Conner itachezwa na Cody Walker nakusema kuwa husika hiyo haitakuwepo tena kwenye filamu hio.
Vin-Diesel-and-Paul-Walker-in-Fast-and-Furious-4

No comments:

Post a Comment