eti Beyonce anamuonea wivu Adele na mafanikio yake ya mwaka 2015. - TANZA MEDIA ONLINE

Wednesday 13 January 2016

eti Beyonce anamuonea wivu Adele na mafanikio yake ya mwaka 2015.


Adele-and-Beyonce-Grammys
Rnb super staa Beyonce ametajwa na jarida la Touch kuwa anamuonea wivu pop staa Adele na mafanikio yake makubwa aliyoyapata mwishoni mwa mwaka 2015.
Inasemekana kuwa Beyonce alitaka kutoa nyimbo mpya December 2015 ila sababu ya ukubwa wa kazi za Adele akaona asitishe mpaka mwakani.
Gossip Cop wameripoti kuwa taarifa hizi sio za kweli nakwamba Beyonce anamkubali na kumpa heshima kubwa mwanamama Adele.
Adele-turns-down-a-collaboration-offer-with-Beyonce

No comments:

Post a Comment