YANGA KUWAVAA WAHABESHI, KOMBE LA SHIRIKISHO - TANZA MEDIA ONLINE

Thursday 22 March 2018

YANGA KUWAVAA WAHABESHI, KOMBE LA SHIRIKISHO

Klabu ya Yanga imepangwa na Wolaitta Dicha SC ya Ethiopia.michezo hiyo itapigwa  KATI YA tareHe 6,7 mwezi wa nne na mechi za marudiano ni tarehe 17 na 18 mwezi wa nne mwaka huu.AIDHA Kombe la Shirikisho makundi yamepangwa kufuatana na matokeo ya timu 32,ambazo timu hizo zimecheza katika miaka mitano iliyopita 




No comments:

Post a Comment