WANANCHI SIMIYU WACHOMA KITUO CHA POLISI - TANZA MEDIA ONLINE

Saturday 24 March 2018

WANANCHI SIMIYU WACHOMA KITUO CHA POLISI

 
Image result for polisi simiyu

Jeshi la Polisi linawashikilia watu 27 wanaotuhumiwa kuchoma Kituo cha Polisi. Bunduki 1 na vipande 3 vya meno ya tembo vyakamatwa.
Kituo hicho kilichomwa baada ya vijana 2 waliokuwa wakishikiliwa kufariki kwa kile kinachodaiwa kuwa ni kwa kipigo kutoka kwa Askari
Wananchi hao hawakuishia kuchoma Kituo hicho pekee bali walichoma na kuharibu mali na biashara zinazomilikiwa na Askari wa Jeshi la Polisi

No comments:

Post a Comment