MBOWE: KUNA NJAMA KUBWA IMEPANGWA DHIDI YETU - TANZA MEDIA ONLINE

Thursday 22 March 2018

MBOWE: KUNA NJAMA KUBWA IMEPANGWA DHIDI YETU



Leo Machi 22, 2018, viongozi Waandamizi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wametakiwa kuripoti tena katika Kituo Kikuu cha Polisi Dar es Salaam ambapo kwa muda wa wiki tano sasa wametakiwa kuripoti kituoni hapo kila wiki tangu kumalizika kwa uchaguzi mdogo wa majimbo ya Kinondoni na Siha.

Mbowe amesema kuna njama za kuwahusisha na tuhuma mbalimbali.



No comments:

Post a Comment