Taarifa zilizo trufikia hivi punde kutoka Ikulu ,ni kwamba Rais JPM Amefanya uteuzi wa mabalozi wapya wawili,ambapo miongoni mwao ni IGP mstaafu Ernest Mangu.
Rais Dkt.Magufuli kesho tarehe 21 Machi atawaapisha Mabalozi Wateule wawili kuiwakilisha Tanzania nchini Rwanda na Urusi.
Rais Magufuli atamuapisha IGP-Mstaafu Ernest Mangu kuwa Balozi nchini Rwanda na Meja Jenerali Mstaafu Simon Marco Mumwi kuwa Balozi nchini Urusi.
No comments:
Post a Comment