Mwili wa Daniel John Waagwa Dar - TANZA MEDIA ONLINE

Tuesday, 20 February 2018

Mwili wa Daniel John Waagwa Dar


Ibada ya kumuombea marehemu ikiendelea kanisani.

MWILI wa aliyekuwa Katibu wa Chadema Kata ya Hananasif, Daniel John umeagwa nyumbani kwake na kufanyiwa ibada katika Kanisa la Parokia ya Mtakatifu Anna, Hananasif, leo Jumanne, Februari 20, 2018, kabla ya kusafirishwa kuelekea Iringa kwa maziko                     Mwili ukiingizwa kanisani.

Daniel John anadaiwa kuuawa na watu wasiojulikana kisha mwili wake kutupwa katika fukwe za Coco jijini Dar es Salaam wiki iliyopita.Bwana ametoa, Bwana ametwaa Jina lake lihimidiwe, Amina.

source:globalonline

No comments:

Post a Comment