Mkuu wa Wilaya Ataka Wavaa Nusu Utupu na Milegezo Wakamatwe - TANZA MEDIA ONLINE

Wednesday, 21 February 2018

Mkuu wa Wilaya Ataka Wavaa Nusu Utupu na Milegezo Wakamatwe



Image result for rehema madusa
Mkuu wa wilaya ya Chunya Mkoani Mbeya Rehema Madusa ameliagiaza Jeshi la Polisi kuwakamata Wadada wote wanaovaa nguo nusu utupu  na wanaofanya biashara ya kuuza miili yao ili wakasaidie ujenzi wa nyumba za jeshi la Polisi.

DC Madusa amesema wale wote watakaomatwa adhabu yao itakuwa kufyatua tofali zitakazosaidia katika ujenzi wa nyumba za Askari polisi kwa kuwa kuna changamoto kubwa ya makazi ya Askari.

No comments:

Post a Comment