BREAKING NEWZ: SUGU HAUKUMIWA MIEZI 5 JELA - TANZA MEDIA ONLINE

Monday, 26 February 2018

BREAKING NEWZ: SUGU HAUKUMIWA MIEZI 5 JELA

Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi 'Sugu' na Katibu wa CHADEMA Kanda ya Nyanda za juu Kusini, Emmanuel Masonga wamekutwa na hatia katika kesi inayowakabili ya kutoa maneno ya fedheha dhidi ya Rais Dkt Magufuli
kutokana na kutiwa hatiani kwa kosa hili washtakiwa wamehukumiwa kifungo cha miezi mitano jela

No comments:

Post a Comment