KILEWO AIAMBIA SERIKALI "2018 SIO MWAKA WA KUPIGA MAGOTI" - TANZA MEDIA ONLINE

Monday, 1 January 2018

KILEWO AIAMBIA SERIKALI "2018 SIO MWAKA WA KUPIGA MAGOTI"

 HENRY KILEWO - KATIBU WA CHADEMA DAR ES SALAAM
katibu mkuu wa chadema kanda maalumu ya dar es salaam kuu,Ndugu Henry Kilewo leo kupitia ukurasa wake wa twitter ametuma ujumbe mzito kwa serikali na wananchi wa Tanzania.ujumbe huu uliolenga kuieleza jamii nini ni maazimio ya chama cha demokrasia na maendeleo(Chadema) kwa mwaka 2018,lakini ameikumbusha serikali ya awamu ya tano juu ya uwepo wa katiba na sheria ,aidha pia amewakumbusha kuwa ni jukumu la kila mmoja kuheshimu misingi ya katiba hiyo.

katika waraka wake huo Mh Kilewo amesisitiza kuwa mwaka 2018 sio mwaka kukaa kimya na kuogopa bali ni mwaka wa kuheshimu na kusimamia Katiba ya jamhuri tuliojiwekea

No comments:

Post a Comment