Meya wa Ubungo Kutoa Posho zake Zote Kwa Wajasiriamali... - TANZA MEDIA ONLINE

Tuesday 10 October 2017

Meya wa Ubungo Kutoa Posho zake Zote Kwa Wajasiriamali...

Meya wa Ubungo, Boniface Jacob amesema kuanzia Oktoba, posho zote anazopewa yeye kama stahiki zake za ajira na mtumishi wa umma, zielekezwe moja kwa moja kwenye mafunzo ya wajasiriamali mbalimbali ndani ya manispaa wa ubungo.

No comments:

Post a Comment