BUNGE LA JAMHURI KUANZA KESHO - TANZA MEDIA ONLINE

Monday 4 September 2017

BUNGE LA JAMHURI KUANZA KESHO

Taarifa kutoka Ofisi ya Bunge Dodoma leo September 4, 2017 ni kwamba ratiba rasmi ya mambo yote makubwa yatakayofanyika kwa kipindi chote wakati Bunge likiendelea imeshapingwa.

Mkutano wa Nane wa Bunge unatarajiwa kuanza kesho Jumanne tarehe 5 Septemba, 2017 na kumalizika tarehe 15 Septemba 2017 Mjini Dodoma. Shughuli zilizopangwa kufanyika katika Mkutano huo ni kama ifuatavyo:-



No comments:

Post a Comment