Tundu Lisu na LHRC Waungana Kupinga Kuvamiwa na Kulipuliwa Ofisi ya Mawakili - TANZA MEDIA ONLINE

Tuesday 29 August 2017

Tundu Lisu na LHRC Waungana Kupinga Kuvamiwa na Kulipuliwa Ofisi ya Mawakili


BREAKING NEWS: Tundu Lisu na LHRC Waungana Kupinga Kuvamiwa na Kulipuliwa Ofisi ya Mawakili
Mbunge wa Singida Mashariki ambaye pia ni Mwanasheria wa CHADEMA na Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika, TLS, Tundu Lissu na Kituo cha Haki za Binadamu wameungana kwa pamoja katika kupinga kitendo cha kuvamiwa na kulipuliwa Ofisi za IMMMA Advocates.
Katika mkutano wa pamoja wamesema lengo ni kuonesha namna gani Sheria inatakiwa kuthaminiwa na kitendo kilichofanywa kinatakiwa kukemewa kwa nguvu zote

No comments:

Post a Comment