Rais Magufuli afanya uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa NHIF - TANZA MEDIA ONLINE

Sunday 13 August 2017

Rais Magufuli afanya uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa NHIF

Rais Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Bernard Herzon Konga kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF). kwa maelezo zaidi soma barua hiyo hapo chini
 




).

No comments:

Post a Comment