Puff Daddy atangaza kustaafu muziki - TANZA MEDIA ONLINE

Sunday 1 May 2016

Puff Daddy atangaza kustaafu muziki


Rapa,Producer, mwigizaji na mfanya biashara maarufu Puff Daddy ametangaza rasmi kuwa album ya No Way Out 2 na kwamba baada ya hapa atastaafu muziki.
Puff daddy ni CEO wa Bad Boys Entertainment na ameweka wazi kuwa baada ya kustaafu muziki kazi yake kubwa itakuwa kuigiza na kutayarisha filamu tu.
Puff Daddy aliyetumikia muziki kwa miaka 20 amAesema pia baada ya kuachana na muziki atatumia muda wake mwingi na watoto wake sita.

No comments:

Post a Comment