Diva ajibu shutuma za ugomvi dhidi mastaa wengine - TANZA MEDIA ONLINE

Thursday 14 April 2016

Diva ajibu shutuma za ugomvi dhidi mastaa wengine


mtangazaji wa radio clouds ya jijini Dar es salaam Diva the bawse ameamua kufunga juu ya bifu zake na supastaa wengine wakibongo.akihojiwa na mtandao wa  Bongo5 kujibu tuhuma hizo amesema mambo makubwa ikiwa ni pamoja na kumuita Jokate ‘feki.’ Amesema ugomvi wao umetokana na Alikiba ambapo Jokate alikuwa akihisi Diva anatembea na mpenzi wako huyo. Anadai yote hayo ni kutokana na wivu alionao Jokate kwa Alikiba.

Anadai marafiki zake na Jokate walikuwa wakimshambulia kwenye Instagram wakimshutumu kuwa anatembea na Alikiba kitu anachosema si kweli na kwamba akitaka kutembea na muimbaji huyo wa ‘Nagharamia’ ni dakika moja tu lakini hawezi kufanya hivyo.

Pia amezungumza kuhusu Lulu kumwandikia tweet kuwa amekuwa akimtukana hivyo hivyo kwa akaunti feki za Instagram.

Mtazame zaidi hapo
:

No comments:

Post a Comment