Azam yatolewa mashindano ya caf - TANZA MEDIA ONLINE

Wednesday 20 April 2016

Azam yatolewa mashindano ya caf

wawakilishi wa Tanzania katika mashindano ya shirikisho la caf almaarufu kama kombe la washindi,timu ya azam fc imeyaaga rasmi mashindano hayo baada ya leo kukubali kichapo cha magoli 3-0 kutoka esperance ya Tunisia.hivyo kuondolewa kwa ushindi wa jumla wa magoli 4-2 baada ya hapo awali azam fc kushinda kwa magoli 2-1 ,katika mchezo uliochezwa Dar es salaam wiki mbili zilizopita.wawaikilishi wengine wa Tanzania timu ya yanga yenyewe itapambana na Al Haly ya misri usiku wa Jumatano hii.

No comments:

Post a Comment