siku ya kwanza ya rais infantino ndani fifa - TANZA MEDIA ONLINE

Tuesday 1 March 2016

siku ya kwanza ya rais infantino ndani fifa



Rais mpya wa Fifa, Gianni Infantino ametoa kali ya mwaka sikh alipoingia ofisini baada ya kuamua apokelewe kwa kucheza mechi.

Wakati wengine walitarajia aingie na kuanza kazi ofisini, yeye aliwaalika nyota kibao wa zamani wa soka, halafu ikapigwa mechi.

Ilikuwa ni kati ya maofisa wa Fifa dhidi ya mastaa hao mechi iliyopigwa mwenye moja ya viwanja vilivyo katika ofisi za Fifa. 

Infantino mwenye miaka 45, aliwaalika nyoka kama Deco, Luis Figo, Michel Salgado, Fabio Cannavaro, Paolo Maldini, Clarence Seedorf na wengine kwa ajili ya mechi hiyo ya burudani.


Infantino ameikuwaa urais wa Fifa kwa kupata kura 112 akichukua nafasi ya Sepp Blatter baada ya kumshinda rais wa Shirikisho la Soka la Bahraini, Sheik Salman bin Ebrahim Al Khalifa.









No comments:

Post a Comment