MBWANA SAMATA AIONGOZA TAIFA STAR KUICHAPA CHAD - TANZA MEDIA ONLINE

Wednesday 23 March 2016

MBWANA SAMATA AIONGOZA TAIFA STAR KUICHAPA CHAD

timu ya taifa ya tanzania ,taifa star imeibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya chad katika mchezo uliomalizika hivi punde huko mjini N'Djamena  chad.kwa goli liliowekwa kimiani na mshambuliaji wa kimataifa anayechezwa soka ya kulipwa huko nchini ubelgiji mbwana samata mnamo dk ya 30 kipindi cha kwanza
 

No comments:

Post a Comment