Hii ndio rekodi za wachezaji wenye umri mdogo zaidi kufunga katika Manchester Derby kwenye Historia ya EPL. - TANZA MEDIA ONLINE

Tuesday 22 March 2016

Hii ndio rekodi za wachezaji wenye umri mdogo zaidi kufunga katika Manchester Derby kwenye Historia ya EPL.

Mchezaji wa Man Untd Marcus Rashford ni mchezaji mwenye umri mdogo zaidi kufunga katika Manchester Derby katika Historia ya English Premier League akiwa amefunga akiwa na umri wa miaka 18 na Siku 141.

marcus 2
   marcus 1  marcus 3 marcus 4 marcus 5

No comments:

Post a Comment