MESSI AIUA ARSENAL ,EMIRATES STADIUM - TANZA MEDIA ONLINE

Wednesday 24 February 2016

MESSI AIUA ARSENAL ,EMIRATES STADIUM

Mshambuliaji wa kimataifa wa Argentina na klabu ya Barcelona Lionel Messi.usiku huu ameliongoza jahazi la catalunya kuitandika bila huruma 2-0 washika bunduki wa kaskazini mwa England.


Katika mchezo huo uliopigwa Katika kiwanja cha emirates jijini London.tulishuhudia time zone zikishambuliana ña kutawala mchezo.na hadi kipindi cha kwanza kinamalizika hakun aliyeona lango la mwenzie.

Kipindi cha pili kilianza kwa kasi sana.huku wakionekana wazi arsenal kuwa na uchu wa goli. Hali iliofanya timu nzima kuwa inapanda kushambulia.na ndipo vijana wa Enrique kutumia mwanya kwa kupiga kaunta attack.ilionzia kwa neymar,Suarez kisha tena neymar aliyewazidi mbio mabeki  wote wa arsenal,na kumpasia pasi murua swahiba wake Lionel Mesi na kuandika goli la kwanza dk ya 71

Mesi huyohuyo aliandikia timu yake goli la pili kwa penalti, baada ya kutendewa madhara ndani ya eneo la 18 dk 83
.

No comments:

Post a Comment