MATONYA V/S TUNDA MAN : BIFU BADO LIKO PALEPALE - TANZA MEDIA ONLINE

Thursday 4 February 2016

MATONYA V/S TUNDA MAN : BIFU BADO LIKO PALEPALE

Tunda na tonya

Msanii wa Bongo Fleva kutoka TipTop Connection,Tunda Man ameweka wazi kuwa sababu ya kutotoka kwa kolabo yake na msanii mwenzake Matonya ni kutokana kujurudia kwa ugomvi wao.
Mastaa hao waliokuwa kwenye bifu kwa muda mrefu waliwapatanishwa na kituo kimoja cha redio na kukubaliana
kufanya ngoma ya pamoja ambapo walifikia hadi hatua ya kuingiza sauti kwenye wimbo huo kabla ya ugomvi huo kujirudia kutokana na vijembe.
“Sijui kilitokea nini,mara huyu kamtukana huyu,mara maneno ya chini chini, mara vijembe..kuna vurugu lilitokea matokeo yake kila mmoja akaondoka kwa njia ambayo haijui” alifunguka staa huyo wa mama kijacho na kukiri kuwa hayuko kwenye mahusiano mazuri na Matonya.

No comments:

Post a Comment