SNOOP DOGG AWATUKANA OSCAR KWA KUTOWEKA WAIGIZAJI WEUSI KWENYE TUZO HIZO - TANZA MEDIA ONLINE

Tuesday 19 January 2016

SNOOP DOGG AWATUKANA OSCAR KWA KUTOWEKA WAIGIZAJI WEUSI KWENYE TUZO HIZO






Snoop Dogg amewashukia Oscars, aapa kutoangalia sherehe hizo baada waigizaji weusi kutotajwa kugombea kipengele chochote, alipost video kupitia ukurasa wake wa instagram huku akivuta bangi, aliulizwa kama atatazama Oscar na alijibu “F-K no! wajashirikisha waigizaji weusi, movies kibao za waigizaji weusi zipo lakini hawajawekwa kwenye tuzo, wanaendelea kutuibia F-k you ..F-K YOU"
Snoop amehisi kama kuna ubaguzi mkubwa katika tuzo hizo.

No comments:

Post a Comment