HAMISA MOBETO AJIFUNGUA MTOTO WA KIUME - TANZA MEDIA ONLINE

Tuesday 8 August 2017

HAMISA MOBETO AJIFUNGUA MTOTO WA KIUME


                                    HAMISA MOBBETO

Mwanamitindo maarufu ambaye ni mzazi mwenza wa mfanyabiashara maarufu, Majizzo, aliyezaa naye mtoto wa kwanza anayeitwa Fantasy, amejifungua mtoto wa kiume leo. Taarifa za Hamisa kujifungua mtoto wa pili ambaye  mpaka sasa hajaweka wazi ni nani baba wa mtoto wake huyu.umezagaa mitandaoni baada ya mama yake mzazi kuposti picha ya mkono wa mtoto na kuandika maneno yafuatayo.
              “Alhamdullilah mume wangu miye peke yangu”
Baada ya posti hiyo ya mama yake mzazi, saa chache baadaye Hamisa alithibitisha taarifa hizo kwa kuposti picha ya mtoto wake na kuandika ujumbe ufuatao.

            “Ahsante Mungu, Karibu duniani mshindi”

No comments:

Post a Comment