UMEIPATA HII YA HARMONIZE NA KISS DANIEL WA NIGERIA !!!??? - TANZA MEDIA ONLINE

Tuesday 12 January 2016

UMEIPATA HII YA HARMONIZE NA KISS DANIEL WA NIGERIA !!!???


HARMONIZE
 

Msanii Kiss Daniel kutoka Nigeria ameonesha lengo la kutaka kufanya kazi na msanii Harmonize baada ya kuulizwa kwenye twitter kama anampango wa kufanya collabo na msanii yoyote wa Tanzania  na kisha yeye kujibu hivi “Diamond of cuz .. Tho I love this new dude signed to his label”  kisha na kuongeza hili “Yeah… Hez got crazy talent”  














Kiss daniel ni moja ya hazina mpya za naija flava  aliyeanza kujulikana zaidi baada ya kuachia Hit single yake ‘Woju rmx’ aliomshirikisha bosi wake davido na na msanii tiwa savage

No comments:

Post a Comment